Thursday, 10 March 2016
Waandishi wa habari watarajiwa wa upigaji picha
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC) wakipata maelekezo jinsi ya Kupiga picha za mjongeo (Video) na wa kwanza (kushoto) ni Mwl wa somo hilo Bw. Stephen Mulaki
Mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Alphonce Kusaga akijaribu kuweka camera sawa kabla ya kuanza kazi
Wanafunzi wakinolewa kwa ajili ya kuja kuwa wapiga picha wazuri wa picha mnato (still picture) na picha mjongeo (video picture)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii ndIYO AJTC barna wageni karibuni
ReplyDeleteUmeona eeeee....humu tunazalisha vipaji mbalimbali
ReplyDeleteSafi sana.. Naamini ni mwanzo mzuri wa kupika vitu vitamu!.. Barikiwa sana
ReplyDelete