Tuesday, 8 March 2016

Kuapishwa kwa Balozi Kijazi


Rais John Magufuli akimuapisha Balozi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi mpya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi aliyemaliza muda wake, Balozi Ombeni Sefue. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment