Wafanya biashara wa mabucha ya nyama Jijini Arusha
wamewaomba wateja wao wajitokeze kununua nyama licha ya kuwepo kwa ugumu
wa biashara katika kipindi hiki cha mfungo wa kwa rezma
Hayo yamesemwa na Bw Samwel anayefanyia biashara zake eneo maarufu kwa nyama choma ya mbuzi
katika mtaa wa kwa Morombo Jijini Arusha
wakati akizungumza na mmiliki wa Blog hii jioni ya leo
Pia amesema kwamba kipindi hiki wateja wamekuwa wachache
kutokana na kipindin hiki cha kwa Rezma kuelekea sikukuu
ya Pasaka mwezi wa tatu tar 27 mwaa 2016
Hata hivyo amesema licha ya cha changamoto ya kipindi hiki
cha kwa rezma pia amesema changamoto nyingine ya kukosa wateja ni kutokana na
kupanda kwa bei ya nyama ambapo awali kilo ilikuwa ni Sh 6,000 na sasa ni Sh 7,000
No comments:
Post a Comment