Oljoro sasa yajishika na Yanga kashfa ya kupanga matokeo
Kikosi cha wachezaji cha JKT Oljoro.
In Summary
“Hivi kufungwa saba kuna ajabu gani hapo wakati
Yanga iliwahi kumfunga Coastal Union tena Ligi Kuu mabao manane,
nashangaa wanaozusha kuwa mchezo ulikuwa umenunuliwa, sasa Oljoro wana
nini wasifungwe mabao 7,” alihoji Nalinga.
No comments:
Post a Comment