In Summary
Lakini kocha wao Hans Pluijm hataki kabisa kuuza
silaha kwa Simba na hata ukifuatilia mazoezi yake amekuwa mjanja sana
kwenye safu ya ulinzi ambapo amekuwa akibadili mabeki, ili Simba wasijue
picha hali ya ukuta itakavyokuwa Jumamosi.
No comments:
Post a Comment