Thursday, 18 February 2016

KIBURI : Ronaldo awasusia waandishi, aondoka mkutanoni


Christiano Ronaldo. 


In Summary
Ronaldo alikuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa hasira na alianzia kwa kupiga kijembe urafiki wa mastaa watatu wa Barcelona, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar baada ya kuambiwa kuwa urafiki wao ulikuwa unazaa mabao mengi kuliko ilivyo kwa mastaa watatu wa Real Madrid, Ronaldo, Karim Benzema na Gareth Bale.

No comments:

Post a Comment